Sungura anajipata matatani anapowadanganya wanyama wenzake. Je ujanja wake utamsaidia wakati huu? Vituko vya Sungura ni masimulizi ya visa vya sungura kwa kutumia mashairi. Hadithi hii inawalenga wanafunzi wa darasa la nne.
KR 4d – Vituko vya Sungura
R28,74