KR 2c – Werevu wa Juma

R27,46

Juma anataka kununua nanasi kubwa, lakini ana shilingi kumi tu. Nanasi kubwa linauzwa kwa shilingi sitini. Juma ataweza kulinunua vipi? Werevu wa Juma ni mkusanyiko wa hadithi mbili zinazofundisha wanafunzi wa darasa la pili jinsi ya kutumia akili zao kwa werevu.

Authors
Language

Publisher

ISBN

9780195741162

Number Of Pages

0

File Size

30.89 mb

Format

EPUB

Edition

1