Kiswahili Dadisi – Mazoezi ya lugha – Kiswahili Language Activities PB 1

R22,91

Kiswahili Dodisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipyo vilivyoandikwa kwo upekee iti kutosheleza mahitaji ya mtaloo mpyo wa Umilisi. Vitabu Finn vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahomu we Lugha kupitio stadi za kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vino mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuzo umitisi uliopendekezwa. maadili no kufahamisha kuhusu masualaibuka.

Katika Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha. Kitabu cha Mwanafunzi. Gredi utapata:

made zilizopangwo kwa kuzingatio muainisho wa mtalaa mpya
mifano halisi ya miktodho ambapo Lugha hutumika
mazoezi nje ya darasa iii kuendeteza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli zo kijamii zinazokuza ujifunzaji
mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
jinsi ya kuwashirikisha wazazi no walezi iii kuimarisha uwajibikaji.

Authors

Language

Publisher

ISBN

9780195746822

Number Of Pages

0

File Size

21.38 mb

Format

EPUB

Edition

1

Published

01-01-2019