Kiswahili Dadisi Language Activities PB 6

R52,72

Kiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza; kuzungumza; kusoma na kuandika; na vilevile sarufi. Aidha; vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa; maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.

Authors

, , ,

Language

Publisher

ISBN

9780195749144

Number Of Pages

0

File Size

21.92 mb

Format

PDF

Edition

1